Habari za Asubuhi ...Tuwachore.............

Mkuu naamini madaktari/manesi hawawezi kufanya huu upuuzi,hapa ni ndugu/marafiki wa marehemu ndiyo wahusika wakubwa...
 
Ngoja na SISI tutaanza kuchukua maselfie class tukikata pindi! Au wakiwa wanajibu mitihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…