Mpelekeni kwa mtaalamu wa mfumo wa chakula ikiwezekana afanyiwe kipimo cha OGD, ikishindikana daktari wa PUA/KOO/SIKIO atamaliza ....anaweza kuwa na Gastro Esophageal Reflux disease, KUMBUKA ukifika kwa daktari unapaswa umwambie unavosumbuka ama kujiskia hii ni nyenzo muhimu sana dr kufikia kufahamu unaumwa, Tofauti na wagonjwa wa siku hizi hutaka kujifanya anajua na kuanza kusuggest kipimo ama dawa..