Nadhani ni mambo ya drivers tu. Lakini mbona drivers zimejaa duniani tena mtandaoni? Usiogope mkuu weka tu hiyo xp na ukidaiwa drivers hizo za sauti kama huna CD yake tafuta online utapata tu bwana.
Ni drivers kama alivyosema mdau, ila kampuni nyingine hazitoi drivers za XP tena officially so ukienda site zao unaweza kukuta hakuna drivers so inabidi uhangaike mwenyewe kugundua hardware yako na kutafuta drivers sehemu nyingine.
Cha muhimu kama watengenzaji wa laptop hawana hizo driver tembelea
Tovuti ya watengezaji wa hardware unayotafuta driver zake
eg kama VGA cadi ni ATI tembela tovuti yao AMD Graphics Drivers & Software mradi uwe unajua model ya VGA kwenye mashine yako
kama sound card ni RealTeck tembelea tovuti ya realtek Realtek
Pia Ukijua model ya hardare unayotafuta driver zake ni rahisi zaidi kupata kwenye tovuti nyingine kama CNET UK | Technology Reviews, Product News and Prices au kuchukua driver za XP za mashine nyingine but yenye version ya hardware kama yako
kuna program inaitwa driver genius hii. kama utainstall na kuinganisha na internet basi itakutafutia drivers zote. mara nyingi mie nimefanikiwa kupata driver hivyo. bila ya kuhangaika sana. mwachie driver genius ahangaike internet kwa ajili yako.
hii hapa driver genius - PhazeDDL Warez .p1
ifuate hiyo link zipo kibao hapo chagua moja uipendayo