kuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw nimeamn kama anajitahidi kua tapeli maana kaniblock facebook jana nkamfollow twitter nkamtel aniletee laptop yang akaniblock leo! namb yake kaifunga ila telegram anazuga kama sio yy n mtu alieokota sim!
sasa yoyote anayemjua huyu kijana naomb ampe taarifa kua nampa mda mpka tarehe 13 mwez huu afanye vyovyote arudishe laptop kwa usalama wake, ikipita tarehe hyo ntashughulika naye effectively maana ntakua nshamaliza pepa ya chuo! au yeye akiona huu ujumbe aufanyie kazi!
Namba yake ni 0712868178,
namba yangu ni 0653 457659 kwa information yoyote!
humu mkiambiwa kuna matapeli hamuelewi lakini tukiwambia mnatuona wanafiki unanunua kitu used kama wataka used nenda madukani kanunue halafu mtu mwenyewe ni wa kukutana kwenye mtandaokuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw nimeamn kama anajitahidi kua tapeli maana kaniblock facebook jana nkamfollow twitter nkamtel aniletee laptop yang akaniblock leo! namb yake kaifunga ila telegram anazuga kama sio yy n mtu alieokota sim!
sasa yoyote anayemjua huyu kijana naomb ampe taarifa kua nampa mda mpka tarehe 13 mwez huu afanye vyovyote arudishe laptop kwa usalama wake, ikipita tarehe hyo ntashughulika naye effectively maana ntakua nshamaliza pepa ya chuo! au yeye akiona huu ujumbe aufanyie kazi!
Namba yake ni 0712868178,
namba yangu ni 0653 457659 kwa information yoyote!
Hahahhaa wajinga ndo waliwao mjini hapa,ohooooo et unatishia nyao utadeal nae?wacha maneno yako ww hesabu maumivu tu jipange upya......
Mie nkimake a deal na mtu hapa kama n maintanance lazma nchukue copy ya kitambulisho chake cha mpiga kura ili liktokea la kutokea nimtafte kisheria zaid sasa ww namba ya simu tu,facebook na twitter mjomba hata kwenye katba hayamo lazma ukae tuuu

Kijana karudisha pesa jana,
humu mkiambiwa kuna matapeli hamuelewi lakini tukiwambia mnatuona wanafiki unanunua kitu used kama wataka used nenda madukani kanunue halafu mtu mwenyewe ni wa kukutana kwenye mtandao
sibishan na ww kabisa! Kazi njema
Mimi hua nikiona tangazo humu naliacha kama lilivyo maana maduka mengi,mafundi wanaofahamika mtaan wapo kibao,endeleen kutapeliwaaa