Habari wakuu mwenye anajua written interview ya Tutorial Assistant

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
911
Naomba kufahamu kama sio kujua.. kuhusu interview za Tutorial assistance zinakuwaje mfano Tutorial assistant ya Community based conservation maswali yanavyoulizwa msaada tafadhali walau nipate japo mwanga sijui kila kitu kuhusu hili eneo
 
Jiandae sana na maswali ya field yako, kma jipiei yako ulipata kwa kuungaunga lazima ukalishwe
 
Kwani zile nafasi za tutorial assistant wametoa majina ya waliokua shortlisted?
 
Watu wasiri sana, kumbe mumeitwa Intaviuu
 
Yaani unataka ukafindishe watoto kwa kupass interview kimchongo???!!!
Watu wapo competent ila kwakuwa hawana uzoefu na interview hizo wameona si vibaya kupata nasaha zenu, kuwahukumu si kuwatendea HAKI.
 
Naomba kufahamu kama sio kujua.. kuhusu interview za Tutorial assistance zinakuwaje mfano Tutorial assistant ya Community based conservation maswali yanavyoulizwa msaada tafadhali walau nipate japo mwanga sijui kila kitu kuhusu hili eneo
Kaka ww ulisha wahi Fanya interview ya tutorial assistant???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…