Zote ni biashara za networking sikatai. Binafsi nimeshapitia hiyo mitandao tajwa, swissguard, Forever living, BF Suma,... sikufanikiwa kitu nikasema sintofanya tena mamtandao na kutukana kama wewe unavyotukana. Lakini Trevo nimepata mabadiliko sana tena kwa muda mfupi. Mlio na kazi mna maneno ya kukatisha watu tamaa lakini wale tunaotafuta karibuni mje tubadili maisha na kusaidiana kwenye changamoto za maradhi mbalimbali. NiPM napatikana.