Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,668
Hatimaye watia nyeto wote duniani wamepata utetezi wa kisayansi.
Utafiti huu mpya umebaini kuwa kadiri mbegu zikihifadhiwa kwa muda mrefu pasipo kumwagwa ndivyo ubora wake unavyopungua.
Dr Rebecca Dean (Dept of Biology, University of Oxford) kiongozi wa jopo la utafiti huo alisema: "kumwaga mbegu (shahawa) kwa ukawaida" iwe ni kwa nyeto au kulomba ni sawa na kuziondoa mbegu zilizopoteza ubora na kuruhusu mfumo wa uzazi kutengeneza mbegu mpya.
Wanetu wa NO FAP CHALLENGE mmeisikia hiyo nyie endeleeni kujaza mabao dhaifu kwenye korodani.
The longer sperm are stored the lower their quality. Tia nyeto flush kichupa dumisha ubora wa mbegu zako