Habari njema kwa wanaume

Habari njema kwa wanaume

Benuardkomba

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
16
Reaction score
0
WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII. SHARE ! SHARE

Kama mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?

Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu kama huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake kama naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu kama watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata kama hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale kama nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

For now,nafuraha sana kushare jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.

Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako ikoje.

Nashukuru kuna siku nlipata
Ujumbe wa Bidhaa za Forever Living nikiwa Rwanda kikazi niliporudi Tanzania Nilimtafta Member wa hii Kampuni nikawa Muwazi kwake kuhusu Afya yangu akanipa elimu pana kuhusu Mfumo wa Uzazi na Baadae alinipatia Virutubisho vilivyo katika mfumo wa kidonge niliwahi kusikia lakin nilipuuzia ila aliniahidi kama hukupata Matokeo ya Kudumu Njoo hapa Ofisini uchukue ela Yako nilikubali akanitumia Bidhaa 3 alizo zitaja kwa majina Haya;

Alovera Gel 1x
Malt Maca 1x
Vortolize for Men 1x

Nilipo Anza Kutumia hivi virutubisho nlijiskia Mabadiliko sana !
Na baada ya week 2 nlikuwa naweza kulimudu Tendo la ndoa vizur mpk mke wangu anaridhika .

Sasa ndani ya Familia ni Furaha na Amani mke wangu akinihitaji Mda wowote nipo fresh Mechi inachezeka .

Tutafte kwa namba 0764672674 kwakupata virutubisho hivi na kwamaelezo zaidi.
Screenshot_20180703-151335.jpg
IMG-20180705-WA0000.jpg
 
Mi naomba kuuliza. Hili tatizo lilikutokea kweli au umetumia experience ili huweze kuuza bidhaa yako.
Na kama ni tangazo mbona hujaweka bei
 
Kwa ugonjwa huo wa nguvu za kiume utawapata wengi ila punguza kutuchosha tangazo refu.
 
Nikajua ni kitu cha maana kumbe unatangaza biashara..
Shubhaamiittt...
 
Kabla hata ya kumalizia kusoma nlishajua konachofuata ni tangazo la dawa ya nguvu za kiume.

Sio mbaya vyuma vimekaza na kila mmoja anajaribu kuvilegeza kwa staili anayoona inafaa.
 
Yaaan nimesoma nilivyokuwa nakaribia chini nikagundua jamaa anakusudia kuuza dawa huyu,afu hajaweka bayana tatizo lake
 
bandiko lako refu sana ngachoka mimi
 
WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII. SHARE ! SHARE

Kama mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?

Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu kama huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake kama naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu kama watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata kama hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale kama nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

For now,nafuraha sana kushare jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.

Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako ikoje.

Nashukuru kuna siku nlipata
Ujumbe wa Bidhaa za Forever Living nikiwa Rwanda kikazi niliporudi Tanzania Nilimtafta Member wa hii Kampuni nikawa Muwazi kwake kuhusu Afya yangu akanipa elimu pana kuhusu Mfumo wa Uzazi na Baadae alinipatia Virutubisho vilivyo katika mfumo wa kidonge niliwahi kusikia lakin nilipuuzia ila aliniahidi kama hukupata Matokeo ya Kudumu Njoo hapa Ofisini uchukue ela Yako nilikubali akanitumia Bidhaa 3 alizo zitaja kwa majina Haya;

Alovera Gel 1x
Malt Maca 1x
Vortolize for Men 1x

Nilipo Anza Kutumia hivi virutubisho nlijiskia Mabadiliko sana !
Na baada ya week 2 nlikuwa naweza kulimudu Tendo la ndoa vizur mpk mke wangu anaridhika .

Sasa ndani ya Familia ni Furaha na Amani mke wangu akinihitaji Mda wowote nipo fresh Mechi inachezeka .

Tutafte kwa namba 0764672674 kwakupata virutubisho hivi na kwamaelezo zaidi.View attachment 804349View attachment 804350
Andiko reeeeeeefu, kumbe unatangaza Biashara!!
 
Yaani 4ever, gnld n.k nawasifu kwa matangazo yao. Lakini bidhaa zao si kama wanavyodai. Na zaidi kimbembe kipo kwenye bei. Mtu wa kawaida ni vigumu sana kumudu hizo bei zao.
 
Hii story ya uongo japo kuwa uliyoandika yana ukweli, nilipoona neno Forever living nikaachana nayo
 
Kama hamjui in ujinga kutojua mini kinamaliza Nguvu

Jamaa ana onekana ana drive, hana mazoezi lishe sio, kula vitu vyenye protein uone. Piga mazoezi uone, zoezilihusishe miguu,kiuno mapaja, then kifua..

Halafu rudi hapa unipe mrejesho
 
Yaani 4ever, gnld n.k nawasifu kwa matangazo yao. Lakini bidhaa zao si kama wanavyodai. Na zaidi kimbembe kipo kwenye bei. Mtu wa kawaida ni vigumu sana kumudu hizo bei zao.
Ndugu wengi wameshndwa kuziamin 4ever kw sababu wasambazaj wabidhaa walio wengi wamebez zaid kufanya biashara kuliko kusudio lake kiafya, mana hiz ni sawa na ukienda hospital ukutane na Dr asie na uelewa mzur atakupa dawa ambazo haziendan na tatzo lako na hazta kufaa kwa tatzo lako, vlevle forever wanabidhaa nyingi zenye lengo tofautofaut kiafya. Hivyo unahitaj kupata mtaalam mzoef ktk bidhaa hz tatzo la nguv za kiume ninahakik linasovika. Japo kwa bei kias zpo juu lakn sio kivile ukilinganisha na dhamani ya afya yako
 
Kumbe unatangaza biashara?
Sasa siungesema tangu mwanzo kuliko kunichosha kusoma kisa kireefu kumbe uongo mtupu
Pole, je usha wahi tumia bidhaa za forever za nguv za kiume zisikufae???, ikiwa jibu ni ndio, ulitumia bidhaa ipi? Na ulitumiaje?, bila shaka ulikutana na Dr feki alikupa dawa isiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom