Habari! Nahitaji keypads smartphone yenye OS ya Android..

habdul64

Senior Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
153
Reaction score
67
wadau naweza pata smartphone yenye buttons ambayo ni android operating system..naomba na gharama yake tafadhali..ikipatikana ya laini mbili ntashukuru zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ