aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Mar 26, 2018 #1 Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba
Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Mar 26, 2018 #2 aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Simba na Yanga wanacheza April 29
aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Simba na Yanga wanacheza April 29
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,343 Reaction score 3,622 Mar 26, 2018 #3 aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Yeye ndio nani?
aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Yeye ndio nani?
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,097 Mar 26, 2018 #4 Cc kama yanga hii haituhusu
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Mar 27, 2018 #5 makedonia said: Yeye ndio nani? Click to expand... Jonas Mkude
L long distance Member Joined Mar 23, 2018 Posts 24 Reaction score 12 Mar 27, 2018 #6 aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Atacheza TSHISHIMBI siyo lazima acheze yeye
aljun raj said: Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Click to expand... Atacheza TSHISHIMBI siyo lazima acheze yeye
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Mar 27, 2018 #7 Simba bila Mkude haiwezi cheza? Mbona Yanga imewakosa akina Ngoma, Kamusoko, Tambwe, na mara kadhaa akina Papy Tshishimbi, Ajib na bado inakomaa...
Simba bila Mkude haiwezi cheza? Mbona Yanga imewakosa akina Ngoma, Kamusoko, Tambwe, na mara kadhaa akina Papy Tshishimbi, Ajib na bado inakomaa...
aljun raj JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 203 Reaction score 46 Mar 27, 2018 Thread starter #8 usser said: Cc kama yanga hii haituhusu Click to expand... Mnawasi wasi na simba
HesabuKali JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 2,880 Reaction score 5,879 Mar 27, 2018 #9 Si ndio hii timu ya mabilioni?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Mar 27, 2018 #10 Sio habari mbaya maana hata hao Yanga wanaweza wakapata majeruhi