Habari Maelezo:Waziri Nape kukutana na Wamiliki na Watendaji Waandamizi wa Vyombo vya Habari U/Taifa

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,865
image.jpeg

Waziri Nape Nnauye kukutana na wamiliki na watendaji waandamizi wa vyombo vya habari nchini.

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa 07/03/2017 saa 03:30 asubuhi.
 
Moja ya ajenda ni alichukulie hatua za kinidhamu gazeti la mwanahalisi kwa kumkashifu na kuandika habari za uongo dhidi ya kamanda mpambanaji namba moja dhidi ya mihadarati hapa nchini, mh. Paul Makonda. Vinginevyo tutajua kauli za Steve Nyerere zinaukweli
 
1488857144046.jpg

Unamaanisha huyu ndio kamanda wenu?!!

Taifa linaangamia.
Twafaaa.

[HASHTAG]#Acha[/HASHTAG] maneno#
[HASHTAG]#Weka[/HASHTAG] vyeti#
 
  • Thanks
Reactions: mwl
Tatizo ni nchi kuzaliwa kwenye Ushoshalisti kisha kukulia kwenye ukomunisti na sasa kuishi kwenye mkanganyiko!!
Mkuu jitofautishe kidogo,hujajua wameitiwa unalalamika tu,yaani huna tofauti kabisa na msukuma mkokoteni kariakoo
 
Back
Top Bottom