Habari maalum college anayekifaham vizuri hiki chuo tafadhari nakuomba uongee lolote

Xhija jilatu

Member
Feb 4, 2017
24
26
Habari zenu wakuu shukran zangu zimfkie kila mmoja.Kama ilivyo kwenye title ya hii taarifa tafadhari jamani naomben mnipemwanga maana kuna rafki angu ame apply hapo!!!!!!

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
sijui sijaelewa?hiko chuo kinaitwaje? na kipo wapo? halafu "college" anaekifahamu uli maanisha nm"colleage? au
 
Lakn mm nlikuwa naomba kama kuna MTU aliyewahi kusoma au anasoma anipe mawili matatu

Back
Top Bottom