kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Nina mtaji wa milioni 15 pamoja na kiwanja cha 40 × 40 nahitaji mtu anijengee nyumba yeye sifa zifuatao,
Vyumba vitatu pamoja na master moja
jiko
public toilet
store
dining.
Hakikisha nyumba inakamilika kila kitu
Kama upo tayari ni pm tafadhali kwa maelezo tayari
Vyumba vitatu pamoja na master moja
jiko
public toilet
store
dining.
Hakikisha nyumba inakamilika kila kitu
Kama upo tayari ni pm tafadhali kwa maelezo tayari