Hahahahahaa kuna watu wanafocus na kuna watu wanatia juhud kukifikisha chombo ila kuna ndorobo flani wao wanakula mtumbwi sasa kama waendapo ni mbali au hawana speed au hawatachukua action kwa hao ndorobo bas hakika chombo kitanzama
Hahah! Nimeipenda hii picha hasa nikiangalia pale mbele nahisi ndio kwa kiongozi mwenyewe wa hcho chombo palivyoliwa na hata kiongozi mwenyewe ukimuangalia tumbo lake utagundua yupo fit
Nilivyoelewa:
Mtumbwi /Muhogo-Tanzania Manahodha wa mtumbwi - Hata mimi siwajui mana sina mkojo wakupeleka kwa mkemia mkuu sina. Manahodha wa mtumbwi ndio watakaozamisha huo mtumbwi kutokana na maamuzi yao ya kipumbavu, wanaamua kula muhogo bila kujali kwamba wanahatarisha maisha ya panya hao wengine ambao wao hawali sehemu yoyote ya mtumbwi.
C&P
Mapanya yanashirikiana na wasiopenda nchi kuitafuna, Wakati safari ni ngumu na sote tumo ndani ya jahazi la Muhogo, wengine wanalitafuna kimyakimya wakidhani wao watapona na tupo katikati ya bahari.