Ha ha haaa noma sana aisee,,

Fix nyingine wazazi walikuwa wanatukaushia tu coz walipitia ujanja wote kabla yetu!
 
Reactions: CTX
Hahaaaa! Nimekumbuka zamani sana nilikuwa nikitaka kwenda kuzurula nampiga fix babu za kutosha babu ananisikiliza kwamakini mwishowe ananiambia wewe mjukuu wangu mtu mzima mzidi mbio tu na siyo akili hapo ulipo ndiyo nilipotokea niambie ukweli utakuwa huru daima nilikuwa nachoka na kushtukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…