Malingumu JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 616 Reaction score 433 Jun 12, 2017 #1 Habarini... mi siyo mwenyeji sana hapa jijini Arusha, naomba anayefahamu gym nzuri katika jiji hili anijulishe... ikiwa karibu na maeneo ya huku Sombetini nitashukuru sana. Asante.
Habarini... mi siyo mwenyeji sana hapa jijini Arusha, naomba anayefahamu gym nzuri katika jiji hili anijulishe... ikiwa karibu na maeneo ya huku Sombetini nitashukuru sana. Asante.
nyegere86 JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 2,215 Reaction score 3,903 Jun 12, 2017 #2 Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika
Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,742 Reaction score 3,450 Jun 12, 2017 #3 nyegere86 said: Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika Click to expand... Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo?
nyegere86 said: Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika Click to expand... Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo?
nyegere86 JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 2,215 Reaction score 3,903 Jun 12, 2017 #4 lulu za uru said: Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo? Click to expand... Yes mkuu ni hapo karibu na kwa mwizarubii
lulu za uru said: Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo? Click to expand... Yes mkuu ni hapo karibu na kwa mwizarubii
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Jun 12, 2017 #5 Utakuwa na maisha mazuri..wengine maisha ni gym tosha