Peter Loisiligaki
New Member
- Jul 18, 2015
- 2
- 0
tunachinja kuanzia Raisi,mbunge hadi dewaneeeeeee kwa raha zetu,halaf shosti usisahau kwenda na kidumu cha maji sawaa
tuwekee na hiyo clip wengine huwa hatumsikilizi huyo jamaa akisikia tu kova anakuja "anazimia hapo hapo"
Yaan naanzaje kuacha kubeba ingali nilijiandikishia mkoa wa mabomu....
Kura yangu kwa lowasa...
Kura yangu kwa lema.
Sidanganyiki na siuzi kura yangu...kesho mamito napanda basi la bure hadi A city...
Hata gwajima angegombea ningempa kiboko ya ccm...
Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
Mi nnachojua Gwajima Ni mwizi wa wake za watu
Kwahiyo umekaaaaaa, ukafikiriiiii, ukaona hiki ndo cha kuleta humu watu wenye akili zao wajadili sio? Shame Upon U!
Helkopta ya Gwajima haijalipiwa kodi stahiki - Magufuli.
Mwambie aondoke nchini maana mh rais Magufuli anakuja kumshughulikia.
Ananguvu za mapepo tu huyo, hana lolote. Si uliona alivyopelekeshwa na pengo mpaka ikabidi aombe msamaha kisiri siri asife (maana alisema sasa mzee nikiomba msamaha kupitia vyombo vya habari nitakimbiza kondoo wangu wanaonipatia riziki) chezea freemason kwa freemasonHuyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
Na ujue hata alipomjibu slaa kuhusisha maaskofu na mashehe kuhongwa wote ni kama walikubaliana na gwajima maana hakuna aliyeibuka kumpinga. Viva gwajima viva lowassa viva mashehe viva maaskofu Tulianza na Mungu tunamaliza na MunguHuyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
Braza ulipasuka jiweni???Akili za kipedipedi hizi. Hawa dadazetu wakishaanza kuvuja baada ya maumivu kukimbilia tumboni haya yameenda kichwani. Dah ndio maana sikuzote mwanamke kwake jikoni usiku asubiri kumstarehesha mfalme wake. Eti kaita na wenzie washuhudie huu utoko wake.
NUNG'AYEMBE AT WORK NDIO MAANA YULE FIRST LADY WENU WALIMTIA KIDOLE JUZI.