Gwajima ni kiboko!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,006
Reaction score
72,300
Huyu jamaa Hua Ana mikwara aiseee ,na Hua Ana msimamo hivi,alinifurahisha Sana alimpojibu bulembo na kumwambia "Bulembo nikijibu Tanzania itatikisika,halaf mi nitajibu waliokutuma ,bulembo usiponyamaza nitakufata ulipo mim Nina helkopta iko Tu pale nje imepaki,usidhan haina mafuta"
aisee Gwajima hunipa raha Ana vituko Sana
kama unajua mengne tuweke hapa tufurahi
halaf tumebakiza siku 1 Tu tupige kura ,usipoteze kura yako chagua Lowassa,mbunge WA ukawa na diwani WA ukawa
siku njema
cc nifah tofali kim Nana cute b na wengineo wengiii
 
Last edited by a moderator:
Boya tu huyo,ana mkwara wa mbuzi,mbona alipofatwa kipindi kile na polisi alijifungia ndani,naa baadae akatoka
 
Kama angelikuwa mjanja akitafuta madem wake,ana kazi ya kudandia tu wake za watu
 

Na aliekulipa hata kupa tena kwa huu upuuzi unaoandika!
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa mbowe katika ubora wao,malipo yenu ya elfu 5 mwisho kesho,wajibikeni ila aliewatuma mnamuangusha kwa uzi wakilofa
 

Kwahiyo umekaaaaaa, ukafikiriiiii, ukaona hiki ndo cha kuleta humu watu wenye akili zao wajadili sio? Shame Upon U!
 
Last edited by a moderator:

Gwajima alimkata kimdomo mdomo slaa hahahaaaa.....ni shida..
Mamitoh imebaki siku moja full kuchinjaa
 
Last edited by a moderator:
Mi nnachojua Gwajima Ni mwizi wa wake za watu
 
Yani alimwambia doctor Mihogo akiendeleza kimdomo domo chake atataja south doctor alikua na nani na alipewa mzigo gani.
Hadi leo doctor mihogo kimyaaa.
Kwa kweli sifanyi makosa.Kura yangu UKAWA.
 
Kwahiyo umekaaaaaa, ukafikiriiiii, ukaona hiki ndo cha kuleta humu watu wenye akili zao wajadili sio? Shame Upon U!

SIKU YA UHESABUJI WA KURA ITAKA VOKUWA
magufuli
magufuli
magufuli
magufuli
magufuli����​​​��​
magufuli
magufuli��​
lowassa
magufuli
magufuli
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa��
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
magufuli��
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
magufuli��
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
magufuli��​​​​��​​​​��​​​​
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
magufuli (ila kura imeharibik�&#56834😉
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
magufuli��​​​​��​​​​��​​​​��​​​​
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa
lowassa����
magufuli
magufuli (imeharibika kura)
lowassa
lowassa
lowassa

FINAL RESULT��​​​��​​​
magufuli 25%
wengine 15%
lowassa 60%

∴ RAISI NI EDWARD NGOYAI LOWASSA

Baada ya dakika 20 tangu matokeo kutangazwa unaskia ndege ya kukodi imempeleka mtu india moyo umejam mana mzee wa kuwait sio mzima yule
 
Yani alimwambia doctor Mihogo akiendeleza kimdomo domo chake atataja south doctor alikua na nani na alipewa mzigo gani.
Hadi leo doctor mihogo kimyaaa.
Kwa kweli sifanyi makosa.Kura yangu UKAWA.

noooma Sana gwajima hahahaaaaaaa kimyaaaaa salaa
 
Gwajima alimkata kimdomo mdomo slaa hahahaaaa.....ni shida..
Mamitoh imebaki siku moja full kuchinjaa

tunachinja kuanzia Raisi,mbunge hadi dewaneeeeeee kwa raha zetu,halaf shosti usisahau kwenda na kidumu cha maji sawaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…