B BOSSES Member Joined Jul 2, 2025 Posts 51 Reaction score 41 Jul 19, 2025 #1 Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,511 Reaction score 13,944 Jul 19, 2025 #2 Wapo wengi Na wao ID mpya kama zako
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,590 Reaction score 13,876 Jul 19, 2025 #3 Kaa kwa kutulia ndugu mtoa mada yajayo yanafurahisha uko tayari?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,938 Reaction score 49,923 Jul 19, 2025 #4 BOSSES said: Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena? Click to expand... Mmeshamaliza kumhoji dada'ke?
BOSSES said: Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena? Click to expand... Mmeshamaliza kumhoji dada'ke?
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,520 Reaction score 9,562 Jul 19, 2025 #5 Unataka kusema nini mrembo?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,626 Reaction score 44,933 Jul 19, 2025 #6 Wengine wataibuka tena, subiri uone
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,276 Reaction score 20,888 Jul 19, 2025 #7 Hilo swali wanaulizwaga wanaume wasiopendwa na wanawake zao mara tu wamalizapo tendo na jamaa kufika mshindo
Hilo swali wanaulizwaga wanaume wasiopendwa na wanawake zao mara tu wamalizapo tendo na jamaa kufika mshindo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,741 Reaction score 1,251,401 Jul 19, 2025 #8 Wataibuka wengi
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,446 Reaction score 2,301 Jul 19, 2025 #9 Kuna makombora yakianza kuchomoka utajua kama pole pole kamaliza au bado!! Chama kijisahihishe.
Mzee Kimamingo JF-Expert Member Joined Mar 31, 2024 Posts 2,293 Reaction score 5,411 Jul 19, 2025 #10 BOSSES said: Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena? Click to expand... Naona umekuja na New ID. Acha unafiki utapakatwa
BOSSES said: Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena? Click to expand... Naona umekuja na New ID. Acha unafiki utapakatwa
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,388 Jul 19, 2025 #11 nuruyamnyonge said: Kuna makombora yakianza kuchomoka utajua kama pole pole kamaliza au bado!! Chama kijisahihishe. Click to expand... Kwa hiyo kawaweka kiporo kwenye zile 75% alizoacha kusema? Vipi kuhusu viapo vyake au hatojali tena?
nuruyamnyonge said: Kuna makombora yakianza kuchomoka utajua kama pole pole kamaliza au bado!! Chama kijisahihishe. Click to expand... Kwa hiyo kawaweka kiporo kwenye zile 75% alizoacha kusema? Vipi kuhusu viapo vyake au hatojali tena?