Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

Hapo hamna kesi !! Mama huyo ajitokeze na mtoto then Gwajima akamatwe mtoto baba uake wapelekwe kwa mkemia Mkuu for DNA analysis!!! Simpooooooo!!!
 
Kwahiyo sasa nani anapoteza au anapata zaidi kwenye hili igizo? Au unadhani mkuu wa vijana wa makumbusho ndo anafaidi peke yake? Sadaka anayopiga Gwajima unaionaje?

Hata Babu wa Loliondo si alipata hela na zingine akagawa kwa Kanisa la Hayati Askof Laiser?


Kikombe Tsh 500/=

Babu yake Tsh 300/=

Kanisa Yao Tsh 200/=
 
Mubashara! ngoja tumuulize Bashite safari hii atalia na kumwaga chozi katika Kanisa lipi
 
Askofu wangu ungetulia sasa, achana na RC maana yeye ni bosi wa mkoa ambako ndiko huduma yako IPO....siku zote anayeshindana na Bosi wake huanguka tu!.. Haki duniani hakuna labda mbinguni huko
 
Hivi huyu Gwajima kazi yake hasa ni ipi? Naona amekalia umbeaumbea tu, yeye badala ya kuhubiri neno la MUNGU amekalia kusikiliza watu wanasema nini ili apate kick ya sadaka kanisani kwake. Askofu gani kutwa kurushiana mipashi tu, si akaimbe taarab basi tujue moja, na hao waumini wake naona kichwani ni bure kabisa, hivi kwa akili zao kweli unaambiwa leo naenda kuzungumzia aliyoyasema bashite badala ya habari za Yesu, na nyinyi mnaenda, hivi mko sawa, something wrong upstairs.
 
ukawa si mlisema ukimya ni nini vile? yani ukawa mmeungana na kila muovu dhidi ya ukweli? hatuna upinzani nchi hii
 

Kama Umbea unaleta Sadaka nyingi kuliko Mahubiri ya Yesu, hapo wa kulaumiwa ni Mpokea Sadaka au Mtoa Sadaka?

Ubepari maana yake ni Ukusanyaji wa Mali bila ya kujali Njia ipi inatumika kukusanya Utajiri huo

Big up Askof wa 'Ufufuo na Uzima' kila zama na Kitabu chake, kanyaga Twende!
 
Kama Umbea unaleta Sadaka nyingi kuliko Mahubiri ya Yesu, hapo wa kulaumiwa ni Mpokea Sadaka au Mtoa Sadaka?

Ubepari maana yake ni Ukusanyaji wa Mali bila ya kujali Njia ipi inatumika kukusanya Utajiri huo
Kosa la wote na ni wapuuzi, wewe mtoa sadaka umeambiwa leo tunahubiri habari za bashite na sio za Yesu alafu unaenda kutoa sadaka, na wewe askofu Gwajima unasema kabisa leo nahubiri neno la bashite na sio la Yesu halafu unachukua sadaka kwa jina la bashite na sio la Yesu, huu ni wizi na kumdhalilisha Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…