Gwajima kesho kusuka au kunyoa

Hahaa jamaa wana jaribu kuhamisha magoli lakini haya hamishiki ---- kama wana taka kweli kufanikiwa kuizima hii scandal basi " wavujishe sex tape ya mkolomije

Wala ya kolomoje hautuitaki tunakata hiyo real tape ya wanayodai ni Chidi na Cesy na waionyeshe kesho kanisan tulinganishe na hii editing wanayodai imefanyika.
 
Wala ya kolomoje hautuitaki tunakata hiyo real tape ya wanayodai ni Chidi na Cesy na waionyeshe kesho kanisan tulinganishe na hii editing wanayodai imefanyika.
Tusubiri tuone kesho itazaa nini?
 
Simbilisi tuu ndio watakubali huu utetezi.. ile clip ni gwajima kabisa. Sema zile video walizichukua polisi kwemhe simu yake au computer walipo tembelea nyumbani kwake wakati ule ana pambana na makonda.

Wanaswma kuna nyingine zitarushwa.
 
Ongeza mwanga wa simu kisha iweke simu horizontal utauona uso vizuri wa gwajima.
 
Na kweli , em jaribu kuangalia ile video tena ,,chunguza jinsi misuli ilivo vizuri ,yule ni mtu anayefanya mazoezi kabisa ,Je Gwajiboy anafanya mazoezi ,Je Gwaji hana hata kakitambi kaduchu,,Na pia kama kuna wataalamu wa kupima urefu kwenye video wapime urefu,

Tuwe na akiba kweli Mzee baba kesho analiamsha Dude

One touch double manifestation
 
This is real bad. Kuna mambo ambayo tunatafuta laana na mikosi na shida za dunia ambazo hatuzitaki. Kama kweli video ni usanii, pamoja ya kwamba nilijua tu, kitakachompata aliyeagiza hii filamu na wote waliohusika mimi sijui.
 
Wala ya kolomoje hautuitaki tunakata hiyo real tape ya wanayodai ni Chidi na Cesy na waionyeshe kesho kanisan tulinganishe na hii editing wanayodai imefanyika.
Mabiliani kanisani tena mkuu duuu. Ila kweli hiyo real waiyonyeshe tufanye comparison kati ya ile ya mwanzo na hiyo original otherwise ba'mtumishi akubali tu amebinua meza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…