Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

Yule mwambie a-focus kwenye miguno, siasa zinahitaji sera na hoja kutoka kwa mtu aliyejijengea uaminifu kwa mabosi wake (wapiga kura)

Kaisha zingua, kanisani aliahidi kuzindua treni wiki kesho siku aliyokua akihubiri mbele ya waumini na hakutekeleza, alikiri mbele ya waumini kua siasa kwake haina msaada wowte na hawezi kuhangaika na ubunge maana ana pesa nyingi kulipo malipo anayolipwa Mbunge.

Kwa kuwadharau kabisa akaamua afanye uasherati kwa kujirekodi, yani bora hata angerekodiwa pobably tungeweza ku-assume kua he has been tricked lakini tunamuona yeye ndiye ana set kamera, halafu anatuletea utetezi wa kidwanzi eti ni mkono wa baunsa. Kama kajikataa yeye kwenye ile clip huyu di atawakataa hadi wananchi wake akiwa bungeni?
Kweri kabisa amechanganya jamii kishenzi mara akasema yeye ni Yesu anamrudisha Chifupa,mara cheo chake cha kiroho ni zaidi na cheo cha Magufuli mara ataleta tren and reli kwa keshi mwisho akawa porn star yani sheeeedaa!!!!
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
Mkikosaga ya kuongea huwa mnaropoka ropoka hovyo kama watu wasio na akili

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Gwajima anaongea na kila ambacho sio sahihi lazima aseme na hvyo ndyo kiongozi anatakiwa awee so maneno yako ya uchochezi hayawezk kutuzuia sisi tusimchague Gwajima hata mseme nin Gwajima pekee ndiye anayefaaa kuwa mbunge wa kawe
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
Kunawatu wanastupid mind kwa kuwa very selfish yani kwasababu ya ushabiki wake wavyama na kutojua kilichojiri na ushabiki feki wanachoche kumchagua MTU ambaye miaka 15 hajaleta maendekeo achani kujali masilahi yenu wabinafsi.

Chukua na hiyo apo chini upate majibu na utulizane.
IMG-20201012-WA0010.jpg
 
Kweri kabisa amechanganya jamii kishenzi mara akasema yeye ni Yesu anamrudisha Chifupa,mara cheo chake cha kiroho ni zaidi na cheo cha Magufuli mara ataleta tren and reli kwa keshi mwisho akawa porn star yani sheeeedaa!!!!
Mwaka huu mbona mtaisoma namba maana mambo ndo kwanza yanaanza yan kila Mahal mmekabwaaa hamna njia ya kupita CCM OYEEEEEE tumedhamiria na tunawezaaa
 
mutandelea kukariri slogan za kipumbavu this month hakuna sujuwi mungu anajuwa tulishinda hapana Lissu tayari amechemsha damu letu kama noma iwe noma ....
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
Kweli hujielewi wewe
 
Gwajima anafaa kuwa mbunge wa Kawe na anaweza kutuongoza wananchi wa Kawe
 
Nyan haon kundule acha usenge wewe hajalala na mama yako mpaka umseme vibaya
ingekuwa enzi za manabii wa agano kale angepigwa na radi toka mbinguni huyo mzinzi,mnavyomtetea naona akiwaambia anawatatua kwanza marinda ndo mwingine sala ya asubuhi mtakubali mana siyo kwa hayo mahaba
 
mutandelea kukariri slogan za kipumbavu this month hakuna sujuwi mungu anajuwa tulishinda hapana Lissu tayari amechemsha damu letu kama noma iwe noma ....
Hahaha ufupi n kwamba kushinda nyie labda mshinde njaa lakini sio kura za wananchi hatuwezi kuchagua vichaaa watuongoze sisi never na tunajua mmeweka wazi kuwa mtaleta mapinduzi nasema hivi mtakufa nyie wa watoto wenu na familia zenu
 
ingekuwa enzi za manabii wa agano kale angepigwa na radi toka mbinguni huyo mzinzi,mnavyomtetea naona akiwaambia anawatatua kwanza marinda ndo mwingine sala ya asubuhi mtakubali mana siyo kwa hayo mahaba
Hujui kitu ni bora utulie tu huwezi muhukumu mtu ambaye hajawahi hata kukutongoza so acha usenge we jamaa
 
matendo yake yanaonyesha ,wana kawe tutahakikisha hakuna mchungaji mzinzi atakayekanyaga bungeni ,wazizi na waongo tukae nao mbali
 
Hahaha ufupi n kwamba kushinda nyie labda mshinde njaa lakini sio kura za wananchi hatuwezi kuchagua vichaaa watuongoze sisi never na tunajua mmeweka wazi kuwa mtaleta mapinduzi nasema hivi mtakufa nyie wa watoto wenu na familia zenu
Kwanza alisema yeye ni Kichaa so can see contradictions kibao kwako
 
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine.

Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima.

Gwajima huyu ndie alietoa clip ya matusi kwa Askofu Pengo hivi unaanzaje kumtukana Pengo mtu mwenye kuheshimika na dini zote, eti ishia mzee, nenda zako mzee, umekula maharage ya watu umekuwa km mtt mdogo unaevishwa pampers leo hii unajifanya mwema, Gwajima haufai.

Huyu Gwajima aliwaita waislamu mashetani sasa huyu hawezi kuwa kiongozi kuwa kiongozi.

Hana sifa huyu.
Umesema wewe lakini sisi wanakawe msimamo wetu uko palepale Gwajima ndiye mbunge tunayemuitaji kwenye jimbo letu.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
matendo yake yanaonyesha ,wana kawe tutahakikisha hakuna mchungaji mzinzi atakayekanyaga bungeni ,wazizi na waongo tukae nao mbali
Aaaah wapi wala haisaidii najua ni chuki zako tu na hazitafua dafu Gwajima lazima ashinde penda usipende
 
Back
Top Bottom