kazikwa kweli au bado anatafutwa mganga wa kumponya? na hii ilitokea wapi? au ndio ule mzagao wa mwaka 1993 wa mama ,mwana na konda ,safari ya Lindi.uliwahi kuenea mzagao wa habari kuwa, kuna konda alikataa kumsaidia mama mmoja safarini akielekea lindi. Mama huyo aliishiwa nauli na aliomba konda amsaidie. Konda alikataa na alimtaka ashuke mara moja wakiwa porini. abiria walimbembeleza konda lakini konda alikataa. mwishowe huyo mama akshuka na mwane kati kati ya msitu.
baada ya msaa manne msafiri mmoja alipokuwa napita na gari alimuona mtoto pekee yake alicheza cheza. akamuuliza unafanya nini hapa, yule mtoto akjibu nilikuwa na mama na mama kaliwa na simba!
unaukumbuka uvumi huu?