wadau nimehangaika kutafuta remote ya hiyo receiver nimekosa nimebonyeza pale kwenye zile botton zake nikafanya auto scan nimepata channel lakini eatv na itv hazna sauti nimejarb kuchange waya za jumaa left iwe right lakini nimeshindwa inamana kama ningekuwa na remote ninge bonyeza audio then ninge select left or right sasa kuna ujanja wowote naweza fanya itv na eatv zikawa na sauti maana remote sina nawasilisha wadau naombeni msaada