Guest ya gharama rafiki Moshi mjini

Katufu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
523
Reaction score
309
Wadau wa Moshi natarajia kuingia mjini hapo leo usiku naomba msaada sehemu safi ya kulaza ubavu. Gharama 15,000 hadi 20,000/-

Naomba msaada please

Katufu
 
Wadau wa Moshi natarajia kuingia mjini hapo leo usiku naomba msaada sehemu safi ya kulaza ubavu. Gharama 15,000 hadi 20,000/-

Naomba msaada please

Katufu
Kwa bei hiyo itabidi tu ukalale maeneo ya majengo
 
Shuka Kiboroloni, tembea mbele kama 50 meters, kata kulia utaona hotel ya ghorofa moja kushoto, iache, nenda mbele, utaona kama 20 meters hv mbele yako utaona round about, iache, cheki kulia yake, utaona nyumba ya blue na nyeupe, sasa nyuma ya hiyo nyumba pita, angalia kushoto kidogo nyuma, utaona guest hapo inaangalia mlima Kilimanjaro..!! Ukifika pm😳
 
Wadau wa Moshi natarajia kuingia mjini hapo leo usiku naomba msaada sehemu safi ya kulaza ubavu. Gharama 15,000 hadi 20,000/-

Naomba msaada please

Katufu
Hata KNCU pale ila ndo utakuta dirisha la chooni bovu na sinki la kuogea kimeo pia vyumba hivyo vinaangalia upande wa ukumbi wa mziki so vumilia otherwise nenda pale pembeni ya TPB bank napo kimtindo. Vile vya kule karibu na mawenzi hospito kuna mbu sana sikushauri na pia majengo vipo ila risasi nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!, hayo maelekezo ni noma Kweli Kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok nitaangalia tu usijali
 
Mmmm asante sana nitajitahidi kuitafuta, labda naomba jina maana nitafika usiku
 
Usiangake na guest mbovu ....shuka Majengo ingia kulia kama unaelekea Rose Garden kuna guest kibao nzuri,self contained na hakuna usumbufu bei ni tsh 12,000/=-15,000/= KARIBU MJI WA MARAHA MOSHI
Asante sana ndugu yangu
 
Wadau wa Moshi nawashukuru sana kwa msaada nilifika mjini humo jana saa 6 kasoro usiku. Nimefikia Sengia lodge hapo Majengo, inafaa kwa kulala na kuondoka. Nashukuru nimeondoka Moshi saa 5 nipo Tanga sasa napiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…