Anko kwa kuwahi....Pole sana bibie Kasie
Amekusoma na kukusikia babu, kumbato lako la jana limenipa ahueni... Asante sana babuu Sam.
Hapana mkuuuLeo huja zoom in
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji56] [emoji56] [emoji56] hahahaAnko kwa kuwahi....
.Narudi kibaruani kumtumikia kafiri....
Safari hii nimepatikana.... kupenda kwangu safari koote kumeniisha, sina hamu.
Hiyo stila ya fragile hiyo..... humo ndani vyote vimepasuka halafu ni zawadi ya thamani sana hasa kwa mtu aliyenipa. .. nami nikaibeba kwa uthamani ule ule niliopewa. ....
View attachment 600707
Dooh... Nimeumia sana... sanaa.
Crying Kasie.
Woow woow.... babuuu unanimalisaa mie...
Am horny you know....
No worry, am here for you.
Kukunyegesha [emoji23] [emoji23]Tooobaaaaa babu ficha shanga zangu wasizione wasije wakakuteka ili waniibe...
Ntaliajee nikikukosa. .... mautamu hayafanani ujue..... hehehehehe
Ila leo umeniweza looh sio kwa kuninyegesha huku.....
Mmuuahhh! ! Wajua vile napenda kupakatwa. .....
Sawa sawa!Hapana mkuuu