π Karibu kwenye Group la Wasomaji wa Vitabu Tanzania πΉπΏ
Unapenda kusoma vitabu? Unataka kuongeza maarifa, kuhamasika na kushirikiana na wasomaji wengine?
Hili ndilo jukwaa sahihi kwako!
π Jiunge nasi hapa:
Group la Wasomaji wa Vitabu Tanzania
WASOMAJI WA VITABU TANZANIA (Great Thinkers) πΉπΏππ group lipo Whatsapp
Hapa tunashirikishana:
β¨ Vitabu bora vya kujisomea
β¨ Mafunzo ya kimaisha
β¨ Ushauri wa kielimu na kifedha
β¨ Maongezi ya kujenga
Karibu tuungane pamoja, tujifunze na tukue pamoja kupitia vitabu! ππ±