Mwembetayari
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 331
- 125
Ooh yaani pia wana Barclays bank kwenye garden city? so hii ni mall by the way ama ni shopping center?
Hehe... Spare my ribs..Ooh yaani pia wana Barclays bank kwenye garden city? so hii ni mall by the way ama ni shopping center?
Ni zaidi ya shopping centre. Bado ujenzi hujakamilika, lakini kuna residential na commecial buildings.