ze encyclopedia
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 316
- 180
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE

Unahisi anania chafu ya kuharibu soko la Green Star?Kwani wewe ni agent wa bus gani?
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE
Fast jet airbusKwani wewe ni agent wa bus gani?
Akili za kitanzania ndio zinatukwamisha. Yaani kupanda basi siku moja ukakutana na ukengeufu wa namna hii tayari unaconclude kuwa hayafai!
Ndege huwa zinaanguka pia