Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

Hahhaaaaa wallah nilikuwa nafikiri Tanzania tu kumbe ulaya napo wezi wana sura ngumuu
 
Nimesoma kwa umakini lakini niwe mkweli, sijaona popote walipotumia akili zaidi ya uzembe wa kiwango cha juu kwa hao walioibiwa. Ngoja nisubiri season #2 nione nini kilitokea.
 
Wezi 11 wakae kambi 2 years, walikua na cash ya kutosha basis. Yaani walikua na mtaji wa kutosha kufanikisha project yao. Maana project kubwa kama hiyo bila ya capital huwezi kuifanikisha.
 
Dah
Hatar sana!
 
boss nitag kwa muendelezo tafadhali
 
Bora umeleta story maana mambo ya kuchomoleana betri yameshanivuruga.
Asante 4G kwa tag.
Nilibanwa mbavu targets zangu za weekend zikafa... BTW how are you doing???

Battery za ABC kuchomolewa ni transition tu yatapita haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…