imma_cafelatino
Senior Member
- Dec 5, 2017
- 173
- 178
- Thread starter
-
- #21
Sasa mkuu wengine hawana uwezo wa kusafirisha labda au wanaogopa kuzikwa makaburi Yale yaliyochini ya manguzo ya Tanesco.ahahaWacha watu wapigwe cha juu kutaka ufahari wa kuzikwa KINONDONI au KISUTU
Hata mie huwa najiuliza sana how comes maeneo ya kuzikia tena dar huwa hayajai. Tango utotoni mpk leo mtu mzima bado maelrehemu wanaendelea kuzikwa. Reference Makaburi ya Chang'ombe-Temeke Dsm..Makaburi mengi yamejaa kwa sasa. Maana tangu enzi na enzi, watu wanazikwa kila siku, tangu niwe na akili ya kufuatilia misiba mpaka sasa ni mtu mzima, nashangazwa kujua bado mazishi yanafanyika katika maeneo niliyoyajua tangu utoto wangu.
Unajua gharama ya kupata sehemu/kaburi pale KINONdONI si chini ya 1m TSHS?Sasa mkuu wengine hawana uwezo wa kusafirisha labda au wanaogopa kuzikwa makaburi Yale yaliyochini ya manguzo ya Tanesco.ahaha
Najua mkuu vizuri sanaUnajua gharama ya kupata sehemu/kaburi pale KINONdONI si chini ya 1m TSHS?
Maiti ikishazikwa kule ardhini inaliwa na wadudu tu.Sasa mkuu wengine hawana uwezo wa kusafirisha labda au wanaogopa kuzikwa makaburi Yale yaliyochini ya manguzo ya Tanesco.ahaha
Makaburi hayajai.Wakuu naomba kuwasilisha..Makaburi ya kinondoni yamejaa kiasi kwamba hata sehemu ya kuzikia ni shida.Sana Sana unauziwa eneo kinyemela na ndugu yako kuzikwa juu ya kaburi la miaka mingi na ambalo halikujengewa.
Ifike wakati mamlaka husika zizuie watu kuzikwa pale maana ni janga kubwa mnoo.
nawasilisha wakuu kwa maoni.
Kwahiyo duniani kote wanaojengea ni wajinga mkuu?Maiti ikishazikwa kule ardhini inaliwa na wadudu tu.
Kwahiyo makaburi hayawezi kujaa!
Serikali ipige marufuku kujengea makaburi kwani ni ujinga tu.
Nipe hata faida moja tu ya kujengea kaburi kama ipo, kwa maiti au mfiwa.Kwahiyo duniani kote wanaojengea ni wajinga mkuu?