imma_cafelatino
Senior Member
- Dec 5, 2017
- 173
- 178
Ni ukaribu tu mkuu maana mtu ana mzazi wake au ndugu yake wamekulia na kuzaliwa dar sasa anaona it's better akamuhifadhi ndugu yake karibu ili iwe rahisi kumvisit pindi akijisikia.Kwani ardhi ya hapo ina faida gani hasa kwa wazikaji na mzikwaji?
Duh! Nimesoma hii nikiwa mgahawani, yaani nimecheka kwa sauti! Wewe kiboko!Hahaha kwani world bank imeshatoa fungu?! Halafu makaburi hayapo kwenye ILANI ya chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo mmenishinda tabiaPale pajengwe FLY OVER
Mkuu umenichekesha Sana ujuePale pajengwe FLY OVER
Inashangaza mnoo mkuuMakaburi mengi yamejaa kwa sasa. Maana tangu enzi na enzi, watu wanazikwa kila siku, tangu niwe na akili ya kufuatilia misiba mpaka sasa ni mtu mzima, nashangazwa kujua bado mazishi yanafanyika katika maeneo niliyoyajua tangu utoto wangu.
Wacha watu wapigwe cha juu kutaka ufahari wa kuzikwa KINONDONI au KISUTUInashangaza mnoo mkuu