H hydle Member Joined Dec 19, 2012 Posts 63 Reaction score 8 Aug 28, 2013 #1 habari ndugu mwana jf,nina tatizo dogo ambalo linanishnda kulitatua,ni kwamba nimeinstall window 8 katka pc,sasa shda ni kwamba maandish bdo makubwa kiasi kwamba pc haivutii kabisa,nahisi tatizo ni graphics,naomba msaada kutatua tatizo hili.
habari ndugu mwana jf,nina tatizo dogo ambalo linanishnda kulitatua,ni kwamba nimeinstall window 8 katka pc,sasa shda ni kwamba maandish bdo makubwa kiasi kwamba pc haivutii kabisa,nahisi tatizo ni graphics,naomba msaada kutatua tatizo hili.
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 Aug 28, 2013 #2 Nenda kwenye settings za screen resolution
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Aug 28, 2013 #3 update graphic drivers, tatizo litakuwa solved. if symptoms persist seek technical support