Habar. .
Nahtaji Graphic design anayejitegemea asiwe ameajiriwa afanye kazi za kampuni yangu ya Entertainment.....kama tutaelewana atakuwa ndani ya kampuni. .. Awe updated na m bunifu" kazi kubwa ni kutengeneza cd cover na cover za nyimbo" matangazo madogo madogo ya events n.k anahtajika haraka sana 0713644485 mawasiliano