Graphic/web designers

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Ok wakuu


Hii image ninataka ichukue seheu ya juu ya web page . web yenyewe inahusika ni directory ambayo itakuwa na contact za watu ,biashara taaluma na huduma mbali mbali. Ville vile itakuwa na location ( mikoa, wilaya mitaa) ya contact hizo. Yaani ni Tovuti itakokupa jibu WHERE, WHO WHAT.

Sasa kwa wataalam wa mambo ya image na graphics wakosoe wapendekeze au ikwezekana wasaide kuirekebisha na kutoa ushauri kuhusu graphic hiyo


Nawasilisha
 
Safi sana
Hivi mtu atakuwa aki-link na kwenda kupata information husika? mfano unaposema NGO nk itakuwaje

umesahau moja nayo ni -Tanzania Media na Intrenational media,Social media nk au media kwa ujumla ni muihumu sana

kazi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…