Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,269 Apr 20, 2011 #1 Ninatafuta graphic designer wa kujitegemea ambaye anaweza ku design signage, brochures(A4), posters (A2), Fliers (A5), na T-shirt. Nitumie ujumbe kuhusu gharama zako.
Ninatafuta graphic designer wa kujitegemea ambaye anaweza ku design signage, brochures(A4), posters (A2), Fliers (A5), na T-shirt. Nitumie ujumbe kuhusu gharama zako.
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Apr 20, 2011 #2 Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi
Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Apr 20, 2011 #3 KURUNZI said: Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi Click to expand... True bei huwa haziwekwi ki hivyo, utawekaje bei bila hata kujua namna kazi itakavyokuwa, bei inakuwa determined na vitu vingi, kwa hiyo you are right.
KURUNZI said: Mh mkuu kukupa bei ni ngumu ungeweka no. yako tungekutwangia au nipigie kwa no hii. 0754827198 au 0716099463 tuongee zaidi Click to expand... True bei huwa haziwekwi ki hivyo, utawekaje bei bila hata kujua namna kazi itakavyokuwa, bei inakuwa determined na vitu vingi, kwa hiyo you are right.