I
.. n
..... a
........ s
............ h
............... u
................... k
....................... a
......................... a
Wee acha tu. Graph itaendelea kushuka mpaka pale chadema asilia tutakapoleta ukombozi wa kifikra na kimfumo. Ni mpaka pale kundi la mafisadi lililotokea ccm litakapofukuzwa kutoka chadema, hapo ndipo ukawa itaanza kupata nguvu
Ishuke..ipande, muhimu ni maendeleo
ingeshuka ,polisi mwanza wasingevunja sheria kwa kukataza mazishi ya mawazo kwa kisingizio ,kisicho na masingi.ingeshuka mpka leo haki ya kikatiba na kisheria ,ya kukutana nabkupata habari isingekanyangwa na jeshi la polisi kwa kisingizio cha kuweka-sawa khali ya kiusalama.hii yote ni kuongopa wanayoyajua wao .kimtazamo woga huu ,usingekuwepo kama chadema na ukawa wasingekuwa na nguvu.ukawa na chadema ni nguvu ya umma haitashuka.waruhusu nayo ioate jukwaa la kuwemea ,uone kama inashuka au inapanda.
Hivi tanzania kuna democrasia?Me naona ni ubabe na majeshi kutumika kama naniliu....,utafanyeje tathimini ktk hali hi?