permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,430
- 15,221
Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zaidi.Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri
2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia
3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Uliza kwanza kabla ya kuropoka mimi ni basha ...kama uamini nitafuteWe ni shoga full stop
Ndiyo 2022 alipataVipi Burna Boy? Amepeta?
Sababu hizi zina mashikoWenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri
2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia
3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Au sio 😂😂Didi yupo jela...
Endelea kupumuliwaUliza kwanza kabla ya kuropoka mimi ni basha ...kama uamini nitafute
Yaheee mbona wataka kunirudisha enzi zangu tena na wewe unavyo penda football nikikununulia vile vibuta vyenu rahini rahini kisha nikakuambia rukarukq kidogo ...bila shaka yoyote utakuwa mtamu tuEndelea kupumuliwa
Anayebisha na abishe!Wenyewe Grammy recording Acardemy wametaja sababu ni
1 Nyimbo aliowasilisha 'komasava' kuwa hit na kua viral sio kigezo cha yeye kuingizwa kwenye vipengele vya tuzo hizo. Inabidi ie unatoa kazi constantly zinazofanya vizuri sio kwa hit moja iliofanya vizuri
2 Yye sio msanii bado si international artist bali ni msanii anaefanya vizuri afrika mashariki na kati. Tofauti na wasanii kama Biurnaboy, davido , wizkid , Rema, ambao wanajulikana duniani, kazi zao na show zinafanyila pande mbalimbali za dunia
3 licha ya Bongo fleva kuongezwa kwenye vipengele vya Grammy kama genre ya mziki kutoka Afrika. Wasanii wanaoimba mziki huo hawajautendea haki kuuonyesha IMPACT na nguvu yake katika dunia
Njoo hapa coke studio Nairobi. Mawakala wa Grammy Africa Wakueleze na wwUkiweka ushahidi Grammy waliposema haya mi nipigwe ban.
Endelea kupumuliwaYaheee mbona wataka kunirudisha enzi zangu tena na wewe unavyo penda football nikikununulia vile vibuta vyenu rahini rahini kisha nikakuambia rukarukq kidogo ...bila shaka yoyote utakuwa mtamu tu
Nadhani watu wanachofurahi ni kwa sababu CCM inakata majina ya wagombea kihuni na hivyo Mondy kukatwa inakuwa faraja kwaoAnayebisha na abishe!
Ila si atavuna kwenye majukwaa ya CCM
Hapo ndipo alipoksea, kujiingiza kwenye siasa wakati wewe ni msanii una mashabiki kutoka pande zoteTunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
Unajua kwann wanashangilia?Hapo kwa taarifa mbaya kama hiyo kwa diamond watu hasa wabongo wanashangilia , hiyo ni dalili ya roho mbaya unapofurahia anguko la mtu mwingine
Hehe kwahio burna boy tuhesabu hana vyeoHapa Sasa tunaamini kwamba alitoka kuangalia move na pdidy chumbani akiwa msaaafiiiiiiii. Kwa kifupi ametuheshinisha wa bongo. Siyo kama wanaigeria.
wabongo tunaroho ya chuki hadi kujichukia Binafsi...no wonder hatuendelei..Tunamchukulia poa kwa sababu tunajua katoka mtaani kwetu ila Nje Diamond anafahamika kuliko unavyodhania ni vile wasizwa hawapendi mafanikio ya msizwa mwenzao niliwahi kupita Vietnam kwenye godown zao wapo busy wanapiga nyimbo za Diamond na kosa la Wasizwa kumchukia ni kuingia kwenye mambo ya Siasa za Chama Tawala..
Pamoja na mambo mengine, kutegemea Kiswahili pekee ni changamoto kubwa. Kwa nyimbo hizo hizo ambazo Diamond ameziimba kwa Kiswahili, angeziimba kwa Kiingereza angepiga show nchi nyingi zai
Ni kweli kabisaaDiamond ana ukubwa wa jina tu ila kwa watu wanaojua muziki anafanya muziki wa kawaida sana, hasa eneo la uandishi anafeli san