GPS Tracker + Web + App = 120,000/-

GPS Tracker + Web + App = 120,000/-

😃😃😃😃 ni kupata location yake yuko wapi, otherwise kila kitu kipo open juu hapo !
Kuna installation charges?
Na kama hakuna gharama za kila mwezi, je kuna gharama za bando au data?
 
Kuna installation charges?
Na kama hakuna gharama za kila mwezi, je kuna gharama za bando au data?

hello, mi ni designer na vendor wa hii product (hardware-tracker na software-app/web UI)

Installation anafanya technician wa umeme-magari na charges zao elekezi na 15,000 mapaka 20,000

Gharama za mwezi, kama uzionavyo wa wauzaji wengine zinakava "Domain , Hosting na Map APIs" zinazotumiwa na Tracking App pamoja na Web ambazo hapa kwangu izo gharama nimeziondoa

Mteja ataingia gharama ya bando (data) maana utapachika Line ya simu kwenye kifaa, ila ni ndogo mno maana kifaa kinatuma Bytes chache ( kama 40 Bytes / 10 seconds ivi ) gari ikiwa ina 'move' , ikiwa 'stationary' haitumi , unajikuta unatumia MB ndogo mno kwa mwezi, kwa mteja wa Halotel ( wacha niwapigie promo) anaweza tumia Sh. 500 mpaka miezi 3 kwa kifurushi cha Super Halo (110MB no expire)
 
Ipo vizuri ntakutafuta mkuu..... Na ikitokea imeibiwa mfano..... Tutakuwa wote ktk kuitrack ama ndo ntahangaika pekeangu
 
Ipo vizuri ntakutafuta mkuu..... Na ikitokea imeibiwa mfano..... Tutakuwa wote ktk kuitrack ama ndo ntahangaika pekeangu
Karibu mkuu

Ukiwa na App( au Web) itaonesha pahala ilipo, huna aja ya kunitafuta kui track

Ukicheki iyo ramani ya Open Street inaonesha mpaka top view ya nyumba/jengo na saa nyingine mpaka address ya nyumba
 
Natambua settings zote zitafanyika kupitia siku yangu. Iwapo nitatekwa pengine kuuawa na gari likachukuliwa na hao watekaji wakaharibu simu yangu ili kupoteza ushahidi, taarifa juu ya mahala lilipo gari kwa wakati huo zitapatikana vipi kwa watakaokuwa wanafatilia hilo tukio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila tracker ina unique ID kwenye hii format IGEHBxxxxxxx

Acivities (settings) zote zinazofanywa na tracker zinakua 'logged/synced' kwenye 'database' yangu

Kila kitu: Locations, history, setting za geofence

Hata wakiaribu simu yako, bado logs zote mimi ninazo (kwenye database) , na kama utainstall tena hii App kwa simu nyingine, then ukaweka user ID yako , kila kitu kitaonekana pale
Sijui kama nimejbu vyema
 
Lakini hii haina ile option ya kuzima gari ukiwa mbali??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom