OPEN UNIVERSITY (OUT) chuo kipo Kibaha mkoani pwani,,,,cha kufanya kama unaweza fika chuoni kabisa ukajiandikishe usome distance learning,,,,uzuri wa distance learing unapewa vitu vya kusoma then unaendelea na mishe zako huku unajisomea kwa mwaka 1 baada ya hapo kuna mitihani utafanya ukifaulu unajiunga na degree yako,,,,,