Huwa kuna viongozi huibuka kuwa Role model kwa kila Nchi kwa kipindi flani
Kwa majirani zetu Kenya, nimetokea kumpenda huyu mama wa jimbo/Mkoa wa Machakos;
She is VERY CREATIVE, hard working, smart and RESULT ORIENTED.....(ni mtu anayetaka kuona matokeo,
Muhimu zaidi; huyu mama ni mbunifu, hayupo pale KUKARABATI miradi iliyokuwepo bali pamoja na ukarabati anabuni miradi mipya kabisa ya kusaidia wananchi wake.....