Government Machinery huchakata wenye tabia mbovu kwa masilahi ya watu wema, Ukikengeuka utachakatwa tu na utanyooka tu

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,899
Dola huwa haijadiliani na wahalifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi, binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
 
Uzuri wa serekali na haya mambo ya serekali usemayo huwa ni relative with time sana mkuu. Ngoja siku moja serekali iwe ule upande unaodhani wewe wako wrong sasa hivi alafu kuchakata kwa wakosoaji kuendelee tu utaona umuhimu wa kuvumilia kukosoana.

Hayo ya mama kuumwa, mtoto kuwa kwenye drip nk usiyashangilie kabisa mkuu. Hayana mwenyewe hayo na hata hao mama zao wanaoumwa hawakuombea mkuu. Duniani matatizo ni yetu sote kiongozi, hakuna aliyeumbiwa matatizo na mwingine shida. Wakati wowote chaweza tokea chochote kwa yoyote!

Mungu akubariki sana mtoa mada.

1577362564264.png
 
Unashadadia ujinga! Unadhani Gaddaf, Saadam Hussein, Omar Al Bashir, Idd Amin Dada na watawala wengi wababe waliwahi kuwaza kuja kuishi maisha ya hofu na kufa vifo vya mateso kama vile walivyo wafanyia wapinzani wao!

Tukubali tu kuwa humble, tuwaongoze wananchi wenzetu kwa haki badala ya nguvu na vitisho, nk. Hii nchi ni ya kwetu sote, na siyo kikundi cha watu wachache.
 
Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Hii ya awamu ya tano wakisema hii karatasi ni nyekundu while wote tunaona ni nyeupe peeeee basi tunatakiwa tuseme kweli ni nyekundu otherwise wewe ni mharifu.kwa mukidha huo tuna machaguo mawili tu.either tuendelee kufa mmoja mmoja au tuseme hapana
 
Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Ni mtu "Pumbavu" tu anayeweza kutetea ugaidi wa kidola siyo!!? Ni mwiko kwa serikali kuwafanyia ugaidi watu wake eti ni kwa faida ya watu wema.
Tatizo la nchi ni CCM kuwapa vyeo vikubwa watu wasio na maadili!!!
 
Buku 7 unayolipwa na polepole inakuzuzua mpaka unapost ujinga
 
Ni mtu "Pumbavu" tu anayeweza kutetea ugaidi wa kidola siyo!!? Ni mwiko kwa serikali kuwafanyia ugaidi watu wake eti ni kwa faida ya watu wema.
Tatizo la nchi ni CCM kuwapa vyeo vikubwa watu wasio na maadili!!!

Hiyo mistari miwili ya mwisho inafikirisha? Tufanye nini ili tujikwamue?
 
Swadakta,kwa mfano madame wa jamaa masela wanajipigia tu kwasasa.
Mjinga alitakiwa awe ajenti wa serikali akaamua kuungana na wahujumu taifa ,acha afe Lwake tena kibudu
Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hauizuii serikali kuwatia adabu nyie wakora, mtasubiri sana huku mnapukutika
Unashadadia ujinga! Unadhani Gaddaf, Saadam Hussein, Omar Al Bashir, Idd Amin Dada na watawala wengi wababe waliwahi kuwaza kuja kuishi maisha ya hofu na kufa vifo vya mateso kama vile walivyo wafanyia wapinzani wao!

Tukubali tu kuwa humble, tuwaongoze wananchi wenzetu kwa haki badala ya nguvu na vitisho, nk. Hii nchi ni ya kwetu sote, na siyo kikundi cha watu wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dola huwa haijadiliani na waharifu ambao lengo lao ni kujinufaisha wao wenyewe ikikuhitaji haina huruma haiangalii kama mama yako mgonjwa, bibi yako anazikwa Leo au mtoto wako amefukuzwa ada au unadrip ya maji hospitalini hakuna huruma wanaokushangilia hugeuka kuwa wadandiaji wa mke wako Mimi. binafsi huwa nawapenda wakosoaji lakini si wakosoaji walioshinikizwa
Baada ya kujiunga ukapelekwa kozi miezi 3, ulivyoonekana unawazidi wenzio ukaletwa huku bila kujua darasani kwenu mlikuwa wapumbavu watupu. Yaani wewe ni Kipanga wa Wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashadadia ujinga! Unadhani Gaddaf, Saadam Hussein, Omar Al Bashir, Idd Amin Dada na watawala wengi wababe waliwahi kuwaza kuja kuishi maisha ya hofu na kufa vifo vya mateso kama vile walivyo wafanyia wapinzani wao!

Tukubali tu kuwa humble, tuwaongoze wananchi wenzetu kwa haki badala ya nguvu na vitisho, nk. Hii nchi ni ya kwetu sote, na siyo kikundi cha watu wachache.
THANK YOU SIR
 
Hao wana dola nao ni wasafi kiasi gani mpaka wasiangalie hayo yote? Ropoka tu kama bado hayajawahi kukuta.

Back
Top Bottom