Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.Tena wafanye haraka.....tunapata usumbufu mkubwa sana pale kutokana na msongomano wa malori...........!
Kuna jamaa alinambia palikuwa kero sana na ilikuwa chanzo cha foleni zisizo za lazima.
Maamuzi ya serikali wakati mwingine huwa yananitatiza sana... Ni sawa na maamuzi ya kuweka matuta badala ya kurekebisha miundombinu ya barabara! Sijui nani huwa wanatoa mawazo haya?!

Wanahamia kibaha mbele ya mizani kijiji kimoja kiitwacho msugusugu