N nimahussein Senior Member Joined Sep 17, 2013 Posts 181 Reaction score 27 Sep 19, 2013 #1 Wadau wenyewe uelewa hivi kuajiriwa serikalini na sekta binafsi wapi kuna maslahi zaidi..na ukishastaafu kama unafanya sekta binafsi kuna kiinua mgongo au hupati kitu..
Wadau wenyewe uelewa hivi kuajiriwa serikalini na sekta binafsi wapi kuna maslahi zaidi..na ukishastaafu kama unafanya sekta binafsi kuna kiinua mgongo au hupati kitu..
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Sep 19, 2013 #2 Government is better than private
N nimahussein Senior Member Joined Sep 17, 2013 Posts 181 Reaction score 27 Sep 19, 2013 Thread starter #3 Al-shabaab said: Government is better than private Click to expand... mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri
Al-shabaab said: Government is better than private Click to expand... mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Sep 19, 2013 #4 nimahussein said: mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri Click to expand... oky serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako lakini Government hakuna kitu kama hicho
nimahussein said: mkuu unaweza kunipa sababu,maana nasikia sekta binafsi ndio kuna mshahara mzuri Click to expand... oky serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako lakini Government hakuna kitu kama hicho
N nimahussein Senior Member Joined Sep 17, 2013 Posts 181 Reaction score 27 Sep 19, 2013 Thread starter #5 Al-shabaab said: oky serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako lakini Government hakuna kitu kama hicho Click to expand... thanx kaka nimekupata hapo,lakini tatizo la serikalini unaweza kuvunda sometimes hufanyi kazi ya taaluma yako,lakini tutapapatua huko huko
Al-shabaab said: oky serikalini ufanyakazi wake hauna command sana ukilinganishwa na sekta binafsi private sekta kazi yakoinakua rehani muda wowote eg kampuni ikifilisika ndo mwisho wa ajira yako lakini Government hakuna kitu kama hicho Click to expand... thanx kaka nimekupata hapo,lakini tatizo la serikalini unaweza kuvunda sometimes hufanyi kazi ya taaluma yako,lakini tutapapatua huko huko