


Google inabidi wamuone jiwe haraka.Wakenya huwa wanapata bahati kwenye dili za kiswahili kimataifa, lakini si waswahili sanifu. Dili dili hizo wanafaa watanzania. Kiswahili kipo Tanzania. Wazungu, Wachina, Wahindi na wengine wanapaswa kuweka kiswahili sanifu cha TanzaniaHiyo tenda ya Google translate btn kiswahili and English walipewa wakenya. Ndio madhara yake hayo.
Sio bahati, wanachangamkia fursa licha ya kuwa si wajuvi kivile, sisi tunaoaminiwa kuwa ndio waanzilishi, tumelaza damu.Wakenya huwa wanapata bahati kwenye dili za kiswahili kimataifa, lakini si waswahili sanifu. Dili dili hizo wanafaa watanzania. Kiswahili kipo Tanzania. Wazungu, Wachina, Wahindi na wengine wanapaswa kuweka kiswahili sanifu cha Tanzania