Google Pixel 4 imetoka rasmi

ubelito

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
170
Reaction score
262
Habari wakuu

Siku chache zilizopita goog pixel 4 imetoka, kwa nionavyo mm hawa jamaa wanawapa bichwa tu iphone mana wameigiza karibia kila jambo kwenye iphone ila wao walichoharibu ni display yao sijaipenda kabisaaa bora hata iPhone na notch yao ila sio kwa muonekano wa pixel 4

Uko kwa dani utendaji kazi sijui kwakwel iko ni kwa mafundi kama kina CHIEF MKWAWA

Kwa mtazamo wangu simu ambayo ipo poa kwenye muonekano kwa sasa ni
One plus 7pro


Hii ni one plus 7 pro


Wadau wa izi smartphone na technology vp nyie maoni yenu kwenye hiii google pixel 4
 

Attachments

  • tapatalk_1571479789117.jpeg
    5.6 KB · Views: 13
Siku hiz watu wananunua muonekano wa kamera nyuma ya simu kwa mamilioni kama hukubaliani ukigoogle hiyo simu ya iphone nyingi zitakuja picha zimegeuzwa nyuma. Kituko
 
Katika kampuni za kipumbavu inaanza hii wanafuata nokia.

Na android one zao,yaani mpaka unajiuliza.hawa jamaa wanaelewa kweli wanachokifanya au wanapuyanga tu.
 
Hiyo squre bump kwenye camera ililetwa na huawei mate 20 pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…