Km una calculator kwanini uhangaike kutumia kichwa kupiga mahesabu???
Mambo yamerahisishwa wacha tule gud time wabongo....na tusivyopenda shida....kush ney
Umeonaa eheeegoogle ikishut down vyuo vikuu tanzania vinafungwa!
wangu hii kitu kwa jinsi navyojua cc wamatumbi hatupendi mashida...lahaulah
Sijui ingekua vipi bila google.. Sema copy and paste mbaya sana.. Tujifunze kuwa creative!
"Changes begin with you.." so my dia anza kuonyesha mfano! Wengine tufuate.
hahahaa ni kweli ila najua hata wewe kwa google ni kilaza mmojawapo coz unaitumiagaGoogle inaongeza ukilaza. Watu wanaacha kuumiza vichwa na kuleta vitu vipya!
Google ipo juu mzee...inaokoa sanaI luv google!! imenisaidia kwenye field report na kwenye kuandika reseaerch ....... bila google sijui ingekuaje.
MP.