Google Khanga Doodle

Google Khanga Doodle

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
google hawakutusahau na sisi wa afrika mashariki kwa kuweka hii doodle


East-Africa-Common-Market.png
 
hizo kanga za urafiki au mali ya abdullah?
 
Waswahili ni taifa kubwa sana ulimwenguni, tatizo ulimwengu hautaki kukubali tu. Wivu unawasumbua tu.
 
Wameshaziweka? Huwa wanaweza doodles kusherekea event fulani. I wonder wataweka kwenye event ipi.....
 
Wameshaziweka? Huwa wanaweza doodles kusherekea event fulani. I wonder wataweka kwenye event ipi.....

iliwekwa zamani kusherehekea east africa common market
 
Hii auto-matic inajisearch yenyewe,
AM FEELING LUCKY...........
 
Back
Top Bottom