Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 17, 2012 #1 Kila unachotaka we google tu,nami si nika google "demu" wacha nisubiri nikitegemea katatokea kademu kazuuri ili kawe ka shemeji yenu,nikawa nachungulia C.P.U pengine kana jipamba afu ndo katokeze,lakini wapi kumbe google na hakunaga.
Kila unachotaka we google tu,nami si nika google "demu" wacha nisubiri nikitegemea katatokea kademu kazuuri ili kawe ka shemeji yenu,nikawa nachungulia C.P.U pengine kana jipamba afu ndo katokeze,lakini wapi kumbe google na hakunaga.