Google chrome haifungui website yoyote nikiswitch internet

Google chrome haifungui website yoyote nikiswitch internet

buswagg

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
1,028
Reaction score
1,864
Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.

Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas, website zote zinafunguka na chrome inafunction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to vodacom internet, site zote zinakataa anashindwa kutumia.

shida ni nini wakuu? ni voda wako na shida ama ni nini? Anahudhuni aliwekewa na baba ake gb 15 zinapotea tu
 
Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.

Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas website zote zinafunguka na chrome inafinction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to vodacom internet zote zinakataa.

shida ni nini wakuu? ni voda wako na shida ama ni nini? Anahudhuni aliwekewa na baba ake gb 15 zinapotea tu
Hiyo internet anatumia line ambayo ipo kwa simu au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom